Jaza pengo kwa kuchagua kivumishi sahihi kutoka kwa vile vilivyowekwa kwenye mabano.
1.Ni mwalimu     aliye mgeni.( yupi, mgani)
         
2.Sukari     mpishi imemwagika.(za, ya)
         
3.Uso    ndio unaoonyesha furaha(kile kile, uu huu)
         
4.Unataka maembe    ?( ngapi, mangapi)
         
5.Sauti     mwimbaji inapendwa.(za, ya )
         
6.Sababu    ndizo zilizomfanya aachishwe kazi.( zizo hizo, iyo hiyo)