nyuma
jaribu tena
hakikisha
Andika jibu mwafaka kwenye pengo kutoka kwa orodha ifuatayo. (kinginecho, mwenye, mengine, kokote, chote, lenyewe)
1. Mwanafunzi
bidii hufanikiwa maishani.
2. Jino
linauma.
3. Mtoto alikula chakula
.
4. Mambo
huudhi.
5. Kuimba
hakuruhusiwi.
6. Alinipa kikombe kilichooshwa na