Oanisha mafungu ya maneno yaliyo hapo chini na sifa zilizoorodheshwa kwa kuvuta na kupachika.
1. Lugha rasmi
2. Lugha ya unyenyekevu
3. Lugha ya staha na heshima
4. Lugha ya kudadisi
5.Msamiati unaolenga mada maalum
Bi Chifu
Tia sahihi
Asante
Umeitoa wapi
Naomba usaidizi