nyuma
jaribu tena
hakikisha
Bonyeza sifa mwafaka za sajili ya mahakamani zilizoorodheshwa hapo chini kwa mujibu wa video uliyotazama
>>
a) Ni lugha rasmi
>>
f) Huwa lugha ya unyenyekevu na heshima.
>>
b) Huwa lugha kudadisi.
>>
g) Huwa lugha ya msamiati maalum
>>
c) Huwa na mafumbo.
>>
h) Ni lazima sentensi ziwe fupi.
>>
d) Ni lugha ya kurejelea vifungu vya sheria
>>
i) Lugha huwa ya kawaida kwa njia ya kipekee
>>
e) Ni lugha yenye utani mwingi
>>
j) Huzingatia herufi.