nyuma
jaribu tena
hakikisha
Kutokana na vibonzo ulivyotazama na kusikiliza bonyeza kama sifa iliyotolewa ni kweli au la.
Kweli
La
1. Lugha wanayotumia huwa sanifu.
>>
>>
2. Lugha imesheheni msamiati wa kitaaluma.
>>
>>
3. Lugha aghalabu ina tamathali za usemi.
>>
>>
4. Kuna kuhamisha ndimi.
>>
>>
5. Huwa kuna kuchanganya ndimi.
>>
>>