Jaza visawe katika orodha hizi za maneno uliyopewa: virutubishi,viserema,shamba,ukavu,zaraa
1. Kilimo.   
         
2. Konde.  
         
3. Mbolea.  
         
4. Vijembe.
         
5. Ukame.