nyuma
jaribu tena
hakikisha
Kutokana na video uliyotazama na kusikiliza bonyeza kama sifa iliyotolewa ni kweli au la.
Kweli
La
i) Lugha inayotumika katika mahojiano baina ya wataalamu imejaa utani.
>>
>>
ii) Mahojiano huandamana na masaja.
>>
>>
iii) Mahojiano hayachukui muundo wa tamthilia.
>>
>>
iv) Mahojiano huwa na sehemu tatu kuu: Utangulizi, mwili, na hitimisho.
>>
>>
v) Wahusika katika mahojiano huongea bila kukatizana kauli.
>>
>>