Jaza mapengo kwa kuvuta na kupachika majibu sahihi kutoka kwa orodha uliyopewa.
1 Sajili ya mahakamani hutumia sentensi ndefu ili
2 Mzunguko wa maneno hutumiwa na mawakili kwa ajili ya
3 Wakili
Mshtakiwa
 
4 Lugha hurejelea vifungu vya sheria
5 Lugha ya mafumbo huwa haitumiki ili
Kukamilisha ujumbe
Kupata ukweli wa shahidi
Hutetea
Ili kuzingatia sheria
Kuondoa utata