nyuma
jaribu tena
hakikisha
Bonyeza kama yaliyosemwa katika mjadala wa pili kwa kuchagua kweli au si kweli.
Kweli
La
1. Taifa ni watu wenye historia moja na huweza kuishi mahali tofauti tofauti.
>>
>>
2. Umoja wa kitaifa husababisha wananchi kufanya kazi vizuri pamoja.
>>
>>
3. Ni lazima tukabili na kuondoa hali zinazotishia umoja wa kitaifa.
>>
>>
4. Tuhimize ujenzi wa taifa lisilo na umoja.
>>
>>
5. Uchumi hukua katika taifa lenye umoja.
>>
>>
6. Ni lazima tukabiliane na umoja wa kitaifa.
>>
>>
7. Umoja huo ni muhimu sana katika taifa lolote.
>>
>>
Nyuma