Jaza mapengo kwa kutumia maneno yaliyoko kwenye mabano.
1. Wanamichezo wanawajibu mkubwa wa (kuleta watu pamoja, kuhakikisha kwambak kuna mazingira bora, kuumba sera za kidunia)
2. Mkutano wa Gigiri ulifaulu (kushuhudia kombe la dunia, kutafuta haadhi na uadilifu katika jamii, katika upekee wa kushirikisha wanamichezo kutambua nafasi zao).
3. Majina mawili ya wakimbiaji yaliyotajwa katika taarifa hii ni (Gigiri, Olimpiki, Tecla Lorupe, Kenya, Paul Tergat).
4. Tecla alianzisha mbio za amani ili(kuwezesha jamii kukaa kwa amani, kuhakikisha kuna mazingira bora, kutafuta hadhi).