Andika jibu sahihi katika pengo kwa kuchagua kutoka orodha uliopewa katika mabano.
1.   wamewasili mkutanoni (hawa,hivi,wote).
         
2.  umegonga mwamba (hiyo,huo,uu).
         
3.   kimenunuliwa jana (hicho,kiki,haya).
         
4.    yananiuma tangu juzi (hayo,haya yale).
         
5.  pote pamepangwa sawasawa (mle,kule,pale).