Jaza mapengo kwa kuchagua jibu sahihi kutoka kwenye mabano.
1.  uliopandwa mwaka jana?(zipi,upi,kipi).
         
2.  linamuuma sana?(lipi,lote,wangapi).
         
3.   kunakotusaidia zaidi?(zipi,gani,wapi).
         
4. zinastahili kukomeshwa?(huku,zipi,ipi).
         
5.  inayotuletea faida?(kupi,ipi,wapi).