Vuta neno na kulipachika katika pengo lililoachwa mwanzoni mwa sentensi
vimesafishwa sawasawa(vyumba,mzuri,vikubwa)
 
yameenea kote lakini yatakomeshwa(maridadi,mabaya,mali)
 
iliyotufaidi ilituendeleza sana(nzuri mvua,sifa)
 
kunakotutosha sote ni huku(pema,kukubwa,pazuri)
 
.anamshughulikia kila mtu bila ubaguzi(yeye,mwema,wazuri)
Mabaya
Vizuri
Mwema
 
Nzuri
Kukubwa