nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua sentensi sahihi kati ya zile ulizopewa.
>>
a) Mimi mwenyewe atakuja huko.
>>
b) Wao ni msaidizi wazuri.
>>
c) Nyinyi mliwasaidia sana.
>>
d) Yeye anatarajiwa kuwasili mapema.
>>
e) Sisi anapenda michezo na masomo.
>>
f) Nyinyi mnawaimbisha nyimbo za kitamaduni.
>>
g) Wewe utamrekebisha vilivyo.