nyuma
jaribu tena
hakikisha
Kamilisha jedwali hili kwa vitenzi vya kauli ya kutendesheka
Kitenzi
Kutendesha
Kutendesheka
1. Simama Simamisha
.
2. Funga Fungisha
.
3. Gonga Gongesha
.
4. Beba Bebesha
.
5. Imba Imbisha
.