Andika katika nafasi zilizoachwa aina ya kirai katika sentensi hizi.
1. Sherehe zilimalizika usiku wa manane  
         
2. Mwanafunzi stadi ametuzwa   
         
3. Mtoto amesimama mbele ya nyumba  .
         
4. Gari lenye kelele limekarabatiwa