nyuma
jaribu tena
hakikisha
Tambua kwa kuandika katika nafasi iliyoachwa wazi aina za vishazi vilivyokolezwa wino.
a) Mwanafunzi
aliyefeli mtihani
amepewa ushauri.
b) Viongozi wengi
wangalikuwa waadilifu
, vijana wengi
wasingalipotoka
c)
Firigisi la kuku
halikupikwa na mama lililiwa nap aka.
.
d)
Shule zimefungwa
na
wanafunzi wamekwenda makwao
.
e)
Ungekuwa mwanafunzi
,
ungeajiriwa kazi hiyo
.
Nyuma