nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua ndiyo au la iwapo nomino iliyo kolezwa wino ni yambwa/shamirisho kipozi.
Kweli
La
a) Maria anaandika barua.
>>
>>
b) Dora amewaandikia watoto hadithi tamu.
>>
>>
c) Mkwezi ameukwea mnazi.
>>
>>
d) Mutual amechambua shairi.
>>
>>
e) Wairimu alisomeshea Zahara watoto.
>>
>>
Mbele