Chagua jibu sahihi ili kujaza pengo;(hawakarabati, habonyezi, hapiki, hawachezi, hamshiki)
1) Mama  chakula.
         
2) Polisi  mhalifu.
         
3) Mhazili  vitufe vya tarakilishi.
         
4) Wachezaji ngoma.
         
5) Wahandisi    mtandao.