nyuma
jaribu tena
hakikisha
Taja aina ya sentensi uliopewa.
1. Mti uliopandwa umenawiri.
2. Maarusi wamewasiri na wageni wanawashangilia.
3. Mtu mwadilifu huchukia ufisadi.a
.
4. Wanafunzi wanachanganuwa sentensi na mwalimu anasahihisha insha.
5. Mwanasiasa aliyemashuhuri hupinga ufisadi.