Onyesha muundo wa kikundi kitenzi katika kila sentensi. Kwa mfano, Jua limekwisha Tua TS + T.
1. Kenya imeshinda  
         
2. Wimbo huo utaimbwa kesho haikushinda  
         
3. Yule ni mwalimu  .
         
4. Abdi amekwenda kumwita
         
5. Nafuna amenikaribisha vizuri