Chagua jibu sahihi kujaza pengo (Hayatapata, hautakamilika, halitakucha, hutatimuliwa, hawatakwenda).
1. Utafiti  mwakani.
         
2. Wanangu   kijijini kesho.
         
3. Maisha  utulivu baadaye.
         
4.shuleni ukiendelea kucheza.
         
5. Jua    mapema kesho.