nyuma
jaribu tena
hakikisha
Vuta na kubwaga neno sahihi la kuonyesha matumizi ya kiambishi -ka Kuonyesha mfwatano, Kuamrisha, Kitendo kimesababiswa na kingine, Matarajio ya kufanika kwa jambo.
1. Kafagia nyumba na kupiga deki.
2. Utaenda kwake ukamweleze unalolijua.
3. Alishukuru, akasali, akala, akanywa maji, kasha akawapa wenyeji wake kwaheri.
4. Mwanafunzi huyo alipita mtihani akamfurahisha mzazi wake.
Kuonyesha mfwatano
Kitendo kinasababishwa na kingine
Kuamrisha
Matarajio ya kufanyika kwa jambo