Tumia kiambishi 'a' pamoja na vitenzi ulivyopewa kujaza mapengo katika sentensi zifuatazo.
1) Jua  magharibi. (tua).
         
2) Wanafunzi  darasani.(soma)
         
3) Maimuna  shairi jukwaani. (kariri).
         
4) Wataliikesho kutwa. ( wasili)
         
5) Mwalimu    kufundisha.(penda).