Tumia kielezi kifaacho kujaza pengo. (shaghalabaghala, leo asubuhi, polepole, sana, kitandani, mno).
1. Wanafunzi wanakula
2. Alifanya kazi yake
3. Bei ya chakula imeshuka
4. Ameondoka
5. Mtoto amelala   
6. Mwanafunzi huyo ni mzuri