Lijaze jedwali lifuatalo kwa kuvuta na kubwaga vielezi ulivyopewa katika aina zifaazo. (Kwa kuogelea,tubwi,wima,jii,vibaya, upesi, kwa gari, kiume,polepole,taratibu,hobelhobela,kwa uchungu).
Vielezi namna hali
 
Vielezi namna vikariri
 
Vielezi namna mfanano
 
Vielezi namna halisi
 
Vielezi namna ala/vitumizi
 
Vielezi namna viigizi
Wima, kwa uchungu
Polepole, hobelahobela
Vibaya, kiume
 
Upesi, taratibu
Kwa kuogelea, kwa gari
Tubwi, jii