nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua ndio au la.
Kweli
La
a) Maria ameenda Mariakani kusoma.Mariakani ni kielezi cha mahali.
>>
>>
b) Rais aliondoka mara moja. Mara moja ni kielezi cha hali.
>>
>>
c) Msomi ametafiti vizuri.Vizuri ni kielezi cha namna mfanano.
>>
>>
d) Matone ya maji yalidondoka ndo!ndo!ndo! Ndo ndo ndo ni keilezi cha namna.
>>
>>
e) Watu wengi mashambani husafiri kwa baiskeli. Kwa baiskeli ni kielezi cha namna ala/ kitumizi.
>>
>>
Nyuma