Vuta neno kutoka orodha ya maneno na kulipachika nafasi iliyotengwa mbele ya maneno.
1. Ndani ya
2. Baba na mama
3. Pole pole sana
4. Enye duka kubwa
Kirai kivumishi
Kirai nomino
Kirai kihusishi
Kirai kielezi