nyuma
jaribu tena
hakikisha
Andika katika nafasi zilizoachwa aina ya kirai katika sentensi hizi.
1. Sherehe zilimalizika usiku wa manane
2. Mwanafunzi stadi ametuzwa
3. Mtoto amesimama mbele ya nyumba
.
4. Gari lenye kelele limekarabatiwa
Nyuma