|
Chagua jibu sahihi kutoka kwa maneno yaliyo mabanoni
1. Wasifu ni masimulizi kuhusu mtu na huandikwa na (mtu mwenyewe/mtu mwingine).
2. Aghalabu wasifu huzungumzia sifa .(nzuri/mbovu/zozote).
3. Katika kuandika wasifu, mwandishi huzingatia nafsi ya (chuku/tatu/kwanza).
4. Msomaji anaweza kupata kinachozungumzia kupitia kwa matumizi ya (taswira/mvuto).
5. Wasifu husoma katika (sherehe maalum/sokoni).
|