nyuma
jaribu tena
Hakikisha
Chagua mambo yanayoonyesha umuhimu wa wasifu kutoka kwa orodha uliyopewa.
>>
1. Hugawanywa katika sehemu.
>>
2. Huburudisha
>>
3. Hutumika katika mazishi.
>>
4. Humwelekeza msomaji.
>>
5. Hukuza lugha
>>
6. Hutumia chuku
>>
7. Hutoa sifa nzuri za mtu au kitu.
Nyuma
Mbele