Chagua maneno ya misimu yaliyotumiwa katika mazungumzo kati ya Chebet na Wario kutokana na haya yaliyoorodheshwa hapa chini.
a) Sasa
b) Mbona
c) Poa
d) Kesho
e) Hepi
f) Kwani
g) Unaweza jo!
h) Matatu
i) Nimeacha
j) Mahewa
k) Wasee
l) Nitajumuika