Dondoa na utaje aina ya yambwa katika sentensi zifuatazo kwa kuandika katika nafasi iliyoachwa.
1) Wakesho amemwimbia mtoto bembezi.       
         
2) Alida alimpa gauni dadake.       
         
3) Ngombe walivamia shamba hili kwa fujo.       
         
4) Kwa nini umenilia chakula change.     
         
5) Rais aliwahimiza wananchi kuishi kwa amani.