Fuata na ujaze pengo kwa changizo inayofaa kwa kutumia maneno uliopewa. Chakula, kaka, mawe, kwa kasi, mbegu, shimo, vizuri, hivi.
1. Mkulima analima shamba  
         
2. Mama alimtuma  Nairobi.
         
3. Dereva analiendesha gari  .
         
4. Mwende aliwapikia kwa kuni.
         
5. Mpanzi anapanda  sasa.